Mgogoro wa Haiti: Je, maafisa wa polisi wa Kenya wanaweza kuyashinda magenge?

Na Gloria Aradi & Pascal Fletcher

BBC News Nairobi & BBC Monitoring Miami

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha,

Polisi wa Kenya, ambao wamekabiliwa na ukosoaji nyumbani, watapimwa uwezo wao kikazi katika uwanja usiojulikana nchini Haiti.

Kenya imeahidi kuongoza kikosi cha usalama cha kimataifa nchini Haiti kujibu ombi la waziri mkuu wa taifa hilo la Karibean la kusaidiwa kurejesha utulivu.

Haiti imekumbwa na ghasia za magenge kwa miongo kadhaa lakini wimbi la ukatili liliongezeka baada ya mauaji ya Julai 2021 ya Rais Jovenel Moïse.

Crédito: Link de origem

- Advertisement -

Comentários estão fechados.